“YENU BAA” YAIBUKA KIDEDEA SHINDANO LA FANYA KWELI KIWANJANI
Shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani linaloendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti chini ya udhamini wa bia yake ya Tusker limempata mshindi wa pili wa Kampeni hiyo kiwanja cha “Yenu baa”. Baa hiyo maarufu inayopatikana maeneo ya Ubungo karibu na Wizara ya Maji imeibuka kidedea...